Hello Gentleman and ladies ,naombeni kama kuna mtu anayejua App ya kitabu cha dini ya kiislam Kile cha kuanzia kujifunzia anipe links please. Natanguliza shukrani kwenu, mimi ni RC napenda sana kujifunza hiyo dini .
Mkuu unaulizia masahafu ..ama...km masahafu nenda playstore ya cm ako au apps store..andika Qur'an zitakuja app nying utachagua unayoitaka ww na zenye translation ya lugha unaitaji au unayoifaham.