msaada wa ku downgrade window phone

msaada wa ku downgrade window phone

Agera 1

JF-Expert Member
Joined
Jun 5, 2014
Posts
4,144
Reaction score
4,321
habari za humu...naombeni msaada kwa mwwnye ufahamu wa kudowngrade window phone...some days ago nilidownload window device recovery tool nikafata taratibu zote ila mwishoni inaandika operation.ended with failure ...msaada tafadhali
 
Inabidi uinstall hii kitu https://support.microsoft.com/en-us/help/12379/windows-10-mobile-device-recovery-tool-faq (Nadhani ndio uliyoinstall) Kisha hakikisha una bundle ya kutosha na mtandao wenye spidi itadownload operating system nzima ambayo ni GB au zaidi.

Jaribu kutochomeka simu kisha click My Device not found kisha fuata maelekezo.

Jaribu kuuinstall hiyo software futa image iliyokuwa dowloaded kisha insatll upya.

Jaribu machine nyingine ikikataa.
 
Back
Top Bottom