Msaada wa kozi ya kusoma chuo kati ya hizi

Msaada wa kozi ya kusoma chuo kati ya hizi

255ChampionBoy

New Member
Joined
Dec 28, 2020
Posts
4
Reaction score
4
Habarini za humu, natumai mko pwa mnaendelea vizuri.

Nilikuwa nauliza Kama naweza nikapata msaada humu nina mdogo wangu amechaguliwa application za kwenda vyuo na machaguo aliyopata amefanikiwa ni kozi ya mechanical engineering pamoja na Metrology and standardization kwa wazoefu wa Kati ya hizo ipi iko na soko au hata mtu asipopata kazi anaweza jisimamia.

Ahsanteni.
 
Back
Top Bottom