Msaada wa kozi nzuri ya masters

Msaada wa kozi nzuri ya masters

Chimunu

Senior Member
Joined
Mar 4, 2013
Posts
159
Reaction score
25
Wadau mm nnahitaji ku aply kozi ya masters pale ud na udom lkn nnapata changamoto kati ya hizi kozi nitakazo zitaja ipi ina advantage ya kupata nafasi zaid pindi nikihitimu 1.masters of edu management ana admistration (MEMA) 2.masters of geography and environmental managements.3.Masters in Natural resource management 4.climate change .nnaimba msaada ipi inaweza kuwa na scope pana zaidi karibuni
 
Namba 3 kama hupendi hesabu, itakupa tabu kidogo.
 
Kwann udom pasifae watu wazima kusoma pale?

Ni mawazo yangu tuu mkuu...mana nimesoma pale kwa kipindi flani,karibu ya wanafunzi wote wanakaa hostel za chuo,
Ila maisha yako fresh tuu...ingawaje kwa mikoa kama dar kwa mtu mzima unakua free, na unapata chance kubwa ya kukutana na watu wa makamo

Kama nimebugi mahali wajuzi watakuja nikosoa...
 
Wadau mm nnahitaji ku aply kozi ya masters pale ud na udom lkn nnapata changamoto kati ya hizi kozi nitakazo zitaja ipi ina advantage ya kupata nafasi zaid pindi nikihitimu 1.masters of edu management ana admistration (MEMA) 2.masters of geography and environmental managements.3.Masters in Natural resource management 4.climate change .nnaimba msaada ipi inaweza kuwa na scope pana zaidi karibuni
 
Mkuu hii sababu yako ni very weak. Mm ni muhitimu pale. Its all depends on you.. muda na flecibility yako.
Halaf kwa level hiyo si lazima uishi hostel.. na watu wazima wapo wanaosoma masters.
Ni mawazo yangu tuu mkuu...mana nimesoma pale kwa kipindi flani,karibu ya wanafunzi wote wanakaa hostel za chuo,
Ila maisha yako fresh tuu...ingawaje kwa mikoa kama dar kwa mtu mzima unakua free, na unapata chance kubwa ya kukutana na watu wa makamo

Kama nimebugi mahali wajuzi watakuja nikosoa...
 
Mkuu hii sababu yako ni very weak. Mm ni muhitimu pale. Its all depends on you.. muda na flecibility yako.
Halaf kwa level hiyo si lazima uishi hostel.. na watu wazima wapo wanaosoma masters.

sawa mkuu...nimekuelewa
 
Kama umemaliza degree ya kwanza ukaingia mtaani na baadae ukataka kusoma masters ila hujui haswa ukasomee nini, kuna shida mahali flani. Katika level ya masters unapaswa kujua nini unataka na sio poa sana kuomba ushauri kwa watu wasiojua unafanya kazi gani sasa hivi na malengo yako ya muda mfupi/mrefu ni yapi
 
Mkuu nahitaji kujùa kama sasa unafanyakazi au huna kazi ili niweze kukushauri katika hizo
 
Back
Top Bottom