Msaada wa kozi nzuri ya masters

Chimunu

Senior Member
Joined
Mar 4, 2013
Posts
159
Reaction score
25
Wadau mm nnahitaji ku aply kozi ya masters pale ud na udom lkn nnapata changamoto kati ya hizi kozi nitakazo zitaja ipi ina advantage ya kupata nafasi zaid pindi nikihitimu 1.masters of edu management ana admistration (MEMA) 2.masters of geography and environmental managements.3.Masters in Natural resource management 4.climate change .nnaimba msaada ipi inaweza kuwa na scope pana zaidi karibuni
 
Iyo ya kwanza ni Direct kuwa mwalimu. Izo nyingine unaweza kwa mwalimu pia unaweza kufanya kazi kwenye izo field.

Habu fanya maamuzi kwanza hadi hapo ili tupunguze choises
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…