Edwin171
JF-Expert Member
- Aug 10, 2014
- 463
- 583
Kwa yeyote anayejua kuhusu kozi hii ya LABOUR RELATIONS AND PUBLIC MANAGEMENT,ukisoma na kuhitimu kwenye ngazi ya diploma au degree unaweza kuwa kuajiriwa katika sekta ipi au unakuwa na wadhifa gani? Natumaini nitapata majibu mazuri kutoka kwenu. Ahsanteni natanguliza Shukrani zangu kwenu