Msaada wa kiufundi

lyalya

JF-Expert Member
Jul 15, 2015
601
551
Kwa wale wenye uelewa na simu au iPad za kampuni ya apple naomba Msaada.
Niko naweka iOS mpya kwenye iPad ya apple kwa kutumia program ya 3u tools ila nimekwama kwenda kwenye UFD Mode naomba mwenye uelewa na hili anisaidie

Sent using Jamii Forums mobile app
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom