Huko ulikoenda wala siko mafundi na mawakala wa sony wako mikocheni sio kipata st ndio maana walishindwa kukutengenezea huko mikocheni spare ikikosekana huwa wanaagiza direct kutoka Japan.
Kiukweli nimejarib kwa mafundi wa mitaani, nikagonga mwamba. Kama kuna anajua nitakakoponea kupata board ingine anijuze tafadhali.
na hapa uko kwa mafundi wa vile vile . jf ni electronic street. teh teh teh teh. kama unayo model number ya kifaa na ina jaribu kucheki ebay. amazon etc. lakini risk yake uwe na uhakika kabisa maana ukikosea ukaagiza kiti chenye tofauti kiodgo unafuu unatoafuta utapotea kabisa