Msaada wa kiufundi kwa RAV 4

Msaada wa kiufundi kwa RAV 4

Cheidhue

Member
Joined
Jan 19, 2011
Posts
16
Reaction score
7
Wana Jamii Forums,

Mimi Nina RAV 4 model ya 1999. Inatatizo la kutoa sauti ya kugonga nyuma kwenye maeneo ya kwenye diff ya nyuma, hasa ninapo-engage gear.

Je kuna mtu yeyote anafahamu solution ya Tatizo hilo? au kama unafahamu fundi mzuri please nipatie number yake.

Thanks

Mdau.
 
hili tatizo pia nimeliona kwenye same model ya rav4 ya rafiki yangu, pia kuna subaru forester nayo ya rafiki yangu nayo ina hili tatizo ngoja wataalam waje
 
Back
Top Bottom