B bujaganoni JF-Expert Member Joined Jul 11, 2015 Posts 561 Reaction score 453 Jul 29, 2020 #1 Habari ya mchana wadau wa JamiiForums. Naomba kusaidiwa kwa anayefahamu, kuna nyumba yenye urefu wa 15m kwa 16m inatakiwa kuezekwa kwa bati za msouth, Gharama yake ya kuezeka inaweza kuwa kiasi gani. Ahsanteni!
Habari ya mchana wadau wa JamiiForums. Naomba kusaidiwa kwa anayefahamu, kuna nyumba yenye urefu wa 15m kwa 16m inatakiwa kuezekwa kwa bati za msouth, Gharama yake ya kuezeka inaweza kuwa kiasi gani. Ahsanteni!