Msaada wa kitaaluma: Niende diploma au nirudie advance level?

Msaada wa kitaaluma: Niende diploma au nirudie advance level?

Kakomae na diploma maana unaweza anza na diploma the baadaye ukajiendeleza ka digree zingine..

Sent from my SM-G532F using JamiiForums mobile app
 
soma dip tu advance upuuzi now days watoto mwaka huu wamefeli sana jamani nasikitika sna kusema waliofaulu ni 30000 only
Ahsante kwa ushauri wako

Sent from my TECNO-W3 using JamiiForums mobile app
 
Kakomae na diploma maana unaweza anza na diploma the baadaye ukajiendeleza ka digree zingine..

Sent from my SM-G532F using JamiiForums mobile app
Ahsante kwa ushauri wako Mkuu

Sent from my TECNO-W3 using JamiiForums mobile app
 
Habari, wanaJF,
Naomba ushauri wenu Jamani, mimi ni kijana niliemaliza kidato cha sita 2013 mchepuo wa sayansi PCM nikapata matokeo phy-S, chem-E, P/maths-F.

So nikawa nimekata tamaa kwa kuwa sikufaulu vizuri hivyo hata ku-apply niliahirisha kabisa kwamkuwa nisingepata eng. Kozi niliotaka, pia nilikuwa mwanafunz ninaejituma ukizingatia o-level nilipata div. 1(17).

Basi nikaendelea kufanya mambo mengine kama biashara nk. Hivyo naomba mnishauri wanajf niende diploma au nirudie advance level?
Naomba nisaidie wana JF.

Sent from my TECNO-W3 using JamiiForums mobile app
nenda dip kurudia ni usumbuf tyu na kupotza mda wko bure
 
nenda kasome diploma ukimbizane na fursa na umri .....baadae ukiwa kazini utachukua degree huku unakula matunda ya Kazi yako.
 
Ndugu yangu achana na kurudia kwanza skutegemea kama ungesema hivyoo nenda diploma bado unauwezo na vigezo vizuri sana halafu 2013 tunaijua mzee ile pure was complex kiukweli
 
  • Thanks
Reactions: smy
Ndugu yangu achana na kurudia kwanza skutegemea kama ungesema hivyoo nenda diploma bado unauwezo na vigezo vizuri sana halafu 2013 tunaijua mzee ile pure was complex kiukweli
Mkuu :ile pepa ilikuwa kigongo waka standardize matokeo ila bado hatukutoka
Ahsante Mkuu

Sent from my TECNO-W3 using JamiiForums mobile app
 
Ndugu yangu achana na kurudia kwanza skutegemea kama ungesema hivyoo nenda diploma bado unauwezo na vigezo vizuri sana halafu 2013 tunaijua mzee ile pure was complex kiukweli
Huko diploma wanachukua Failures!!??
 
Nenda diploma tu mkuu, hata ukiwa na cheti cha diploma unaweza kujishikiza mahali, ungeifikiria pia diploma ya afya ingekuwa poa zaidi

Sent from my IPhone-7 using JamiiForums mobile app
 
  • Thanks
Reactions: smy
nenda diploma advance uta dance!

Sent from my TECNO-J8 using JamiiForums mobile app
 
Kapge diploma mkuu!! Wala uciste kabsa

Sent from my TECNO-Y4 using JamiiForums mobile app
 
  • Thanks
Reactions: smy
Back
Top Bottom