Msaada wa Kitaalamu na Kitabibu Wakuu

Msaada wa Kitaalamu na Kitabibu Wakuu

Linguistic

JF-Expert Member
Joined
Mar 16, 2021
Posts
3,664
Reaction score
8,285
Wakuu Naombeni Masada na Ushauri Kwangu.

Wakuu Uume wangu Umekuwa Ukisimama Ghafla Kwa Mda mrefu bila Kunywea.

Unaweza Kusimama hata dakika 30 bila Kunywea na Ni mrefu so napata shida nikiwa Kama Niko mtaani natembea [emoji52][emoji52]. Nina Kama Week Sasa, ni Ugonjwa au Ni Nini Wakuu [emoji58][emoji58]

Ni Jambo la kweli na sio Utani Wakuu [emoji58]
 
Pole kwa yanayotokea.
Hili ni tatizo kama hali hii inatokea bila chanzo yaani msisimko bila kuona, kuguswa, kusikia au kunusa(vyanzo vya hisia).

Hali hii huweza kumtokea mtu yeyote, mtoto hata mkubwa. Huwa ni tatizo zaidi inapotokea zaidi ya saa nne na hakuna mabadiliko yeyote hata ukishiriki tendo.

Kuna vitu vingi vinaweza kuhusishwa na hali hii:

1: Jinsi ya ushiriki wako wakati wa tendo la ndoa (too much manipulation). Moja ya shida ni kuunganika kwa ateri na veins ndani ya uume.

2: Tatizo kwenye mzunguko wa damu (flow obstruction), mfano kwa watu wenye sickle cell.

3: Matumizi ya dawa za kuongeza uwezo wa nguvu za kiume. (Kienyeji/asili vs kizungu).

4: Tatizo lolote linalofanya mishipa ya uume isipate oksijeni ya kutosha.

5: Matumizi ya pombe, bangi, na cocaine.

6: Ajari inayohusisha uume au sehemu kati ya uume na njia ya haja kubwa.

7: Wakati mwingine hakuna sababu za msingi.

Cha msingi angalia mazingira hayo hapo juu.

PIA👇
Ili kupata suluhisho la kudumu ni kufika kituo cha afya ili kuona tatizo la msingi liko wapi na ufanye nini mara itokeapo na ufanye nini kuzuia lisitokee. Wakati mwingine inaweza kutokea ikamchukua mtu hata saa hata 6 au zaidi, hapa nso tunaamia kwenye uafrika kuwa amelogwa kumbe ni shida tu za kawaida za mwili.
 
PIA[emoji116]

Asante Mkuu Ila sijawahi kutumia madawa ya kuongeza nguvu

Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom