Ndugu wana Jf ninaomba wanaofahamu ubora wa Nokia E7 wanipe data maana nimejaribu kudownload operamin naambiwa inahitaji frames.Hii simu imeandikwa made from Finland lakini nahisi inaweza kuwa mchina at work.Kwa aliyewahi kutumia tafadhali
Mkuu hujaeleza vizuri,hyo opera umejaribu kudownload vp lakini kwa haraka,kudownload opera kwa urahisi andika m.opera.com kisha server ya opera ita detect kama simu yako ina sapport opera mini au opera mobile