Tuwekee mikataba yote miwili, wa kampuni ya awali na hiyo nyingine.......!Kampuni kuuzwa huku ukiwa kama mfanyakazi mwenye mkataba na muajiri wa zamani huku muajiri mpya akikutaka usaini mkataba mpya uendelee na ajira,je, kuna malipo yoyote unayotakiwa kulipwa?