Msaada wa kisheria

xtaper

JF-Expert Member
Feb 22, 2015
3,319
4,701
Habarini wanajf,

Nina swali kidogo nilikua naomba msaada wa kusolve case hii.
Kama nina kampuni na nikawa naidai serikali kesi ikiwa mahakamani. Lakib kabla kesi haijaisha kampuni ikafirisika kwaiyo ikafa. Baada ya miaka kadhaa nikashinda kesi. Sasa serikali inatakiwa iilipe lakin kampuni imekufa. Nafanyaje ?

Shukran
 
Back
Top Bottom