msaada wa kisheria tafadhari

hp4510

hp4510

JF-Expert Member
Joined
Jan 16, 2012
Messages
1,136
Likes
746
Points
280
hp4510

hp4510

JF-Expert Member
Joined Jan 16, 2012
1,136 746 280
wakuu naomba msaada wa kisheria.... hivi
kwenye kesi ya kukopeshana pesa ni ushahidi
gani ambao unatakiwa mahakamani? i mean wa
mtu kuona au wa maandishi?
 
M

Mokoyo

JF-Expert Member
Joined
Mar 2, 2010
Messages
15,215
Likes
2,346
Points
280
M

Mokoyo

JF-Expert Member
Joined Mar 2, 2010
15,215 2,346 280
wa maandishi
 
M

moghaka

JF-Expert Member
Joined
May 16, 2011
Messages
205
Likes
30
Points
45
M

moghaka

JF-Expert Member
Joined May 16, 2011
205 30 45
kwaiyo kama nimempa mtu pesa zangu bila kuandikishiana imekula kwangu?
Hapana,, inategemea ! ! ushahidi maana na lengo lake ni kuthibitisha tendo fulani kuwa ni hakika, unaweza ukawa wa maandishi, picha, sauti, mtu wa tatu aliona watu wawili kukopeshana, ili mradi kuthibitisha kwamba kweli tendo hilo lilifanyika. . . . . .
 
hp4510

hp4510

JF-Expert Member
Joined
Jan 16, 2012
Messages
1,136
Likes
746
Points
280
hp4510

hp4510

JF-Expert Member
Joined Jan 16, 2012
1,136 746 280
Hapana,, inategemea ! ! ushahidi maana na lengo lake ni kuthibitisha tendo fulani kuwa ni hakika, unaweza ukawa wa maandishi, picha, sauti, mtu wa tatu aliona watu wawili kukopeshana, ili mradi kuthibitisha kwamba kweli tendo hilo lilifanyika. . . . . .
kwaiyo kama hakukuwa na shahidi yyte naweza kumchukua mtu na akasema aliona hilo tukio na ikakubalika?
 
Malafyale

Malafyale

JF-Expert Member
Joined
Aug 11, 2008
Messages
12,154
Likes
4,878
Points
280
Malafyale

Malafyale

JF-Expert Member
Joined Aug 11, 2008
12,154 4,878 280
kwaiyo kama hakukuwa na shahidi yyte naweza kumchukua mtu na akasema aliona hilo tukio na ikakubalika?
Ushahidi wa kuona HAUKUBALIKI kwenye kesi ya kukopeshana hela
 
I

illegal migrant

JF-Expert Member
Joined
Oct 18, 2013
Messages
1,263
Likes
696
Points
280
Age
38
I

illegal migrant

JF-Expert Member
Joined Oct 18, 2013
1,263 696 280
wakuu naomba msaada wa kisheria.... hivi
kwenye kesi ya kukopeshana pesa ni ushahidi
gani ambao unatakiwa mahakamani? i mean wa
mtu kuona au wa maandishi?
kaka Kama mlipeana hela bila maandishi usiogope, nenda polisi kashtaki ila inabidi ujenge hoja ionekane kama alikurubuni kwa makubaliano ya kuuziana kitu Fulani wala isionekane kama mlikopeshana kisha ongea na polisi "vizuri" wamlaze jamaa ndani itabidi uongee "vizuri" tena na polisi wamshurutishe jamaa asaini makubaliano ambayo tayari utakuwa umeyaanda mfano mimi.......nimepokea sh......kutoka kwa.......ambazo nitazirudisha tarehe.......naweka dhamana ya mali zangu zenye thamani ya sh .........ambazo zitatumika kufidia deni nisipoweza kulipa, unaweza pia kuupeleka kwa mwanasheria akautie saini. ningekushauri vema kama ningejua mmepeana hela kwa makubaliano gani na kama jamaa ameonyesha dhamira ya wazi ya kutokuwa tayari kukulipa 078478449
 
Forum statistics

Threads 1,237,888
Members 475,774
Posts 29,304,922