Msaada wa kisheria tafadhali

bintishomvi

JF-Expert Member
Mar 21, 2015
1,164
831
Nilienda kwenye eneo langu nimekuta jiwe langu wamelitoa nalietoa ameweka nguzo yake ya geti na anaendelea na ujenzi.

Nimeenda serikali ya mtaa wamenipa barua ya nipeleke kwa mjumbe na amkabidhi mlengwa ili tukutane tuyaongee sasa naomba msaada wa kisheria ya hardhi hapo inafafanua nini kwa kilicho tokea?

Na maamuzi niliochukua nipo sahihi? Naombeni ushauri wakuu.
 
Naombeni ushauri tafadhali

Kama kwa namna yoyote ile ujenzi wa gate lako umeingia hata kwa cm 1,hiyo ni trespass,angalia umeathirikaje,jaribu kujua motive behind ya huyo jamaa kutoa hilo jiwe.Pole kwa jibu kuchelewa,incase of anything,pm pls!
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom