Katika sheria kuna k2 kinaitwa presumption to marriage ambpo inabdi mue mmekaa wote kwa miaka angalau isiyopungua miwili na mwnekane kuishi kma mke na mume,kdgo hyo ishu yako ingekaa hpa lakn kuna mapungufu,ushauri wangu tafuta sheria nyngne itakayoweza kumbna uyo mwanaume lakn kwa sheria za ndoa itakua ngumu,mfn labdo iyo mimba kuna v2 ingekua imekusabishia kma kuvuruga mausiano yako na familia ama jamii ama itakusababishia kutokuolewa tena,hapo u cn sue for damages.