mimimnyenyekevu
JF-Expert Member
- Apr 19, 2023
- 698
- 940
Kama watoto wanakaa na Baba yao hakuna shida, sijajua waliachana kwa namna gani huenda mwanamke ndo mwenye matatizo ndio maana Baba mtoto hataki kabsa watoto wake waige tabia za ajabu.
Muache adange huyo mwanamkehakuna kuona mtoto hapa. Nyie wanawake mkikaa na watoto huwa mnajikuta keki leo yamewakuta mzee kafunga tintedngoma droo.
Tuko pamoja sana,Asante mkuu kwa mchango wako
Oyaaa unatuchanganya naomba utuache. Mara wanakaa wa mama mara wanakaa kwa Baba. Shiit🙄🏃 which is whichNi hivi,watoto Huwa wanaishi na mama,maana wapo chini ya miaka 8,na baba Huwa anafahamu watoto wake wanapoishi na mama Yao.
Swali ni je,huyu mama haruhusiwi kufahamu kufahamu watoto wake wanapokaa wakati wa likizo?(kwa baba Yao)
Hujaeelewa wapi mkuu,watoto wanaishi na mama,ila ikifika likizo yaani wakifunga shule wanaena kwa baba Yao,Sasa swali ni je huyu mama hatakiwi kufahamu watoto wanapoishi wakati wa likizo?Oyaaa unatuchanganya naomba utuache. Mara wanakaa wa mama mara wanakaa kwa Baba. Shiitwhich is which
Kama hapafahamu je watoto walifikaje? Kama ana uhakika wapo huko basi wapo kwenye mikono salama kwa wakati huo ,haina ulazima wa kupajua kikubwa ana uhakika wapo kwa baba yao na watarudi.Ni hivi,watoto Huwa wanaishi na mama,maana wapo chini ya miaka 8,na baba Huwa anafahamu watoto wake wanapoishi na mama Yao.
Swali ni je,huyu mama haruhusiwi kufahamu kufahamu watoto wake wanapokaa wakati wa likizo?(kwa baba Yao)
Mama ana haki kisheria kuwaona watoto na kujua mazingira wanayoishi bila kujali waliachama kwa namna ipi.Ni hivi,watoto Huwa wanaishi na mama,maana wapo chini ya miaka 8,na baba Huwa anafahamu watoto wake wanapoishi na mama Yao.
Swali ni je,huyu mama haruhusiwi kufahamu kufahamu watoto wake wanapokaa wakati wa likizo?(kwa baba Yao)
Asante mkuu kwa maoni yakoMama ana haki kisheria kuwaona watoto na kujua mazingira wanayoishi bila kujali waliachama kwa namna ipi.
Huwa baba anawafuata mwenyeweKama hapafahamu je watoto walifikaje? Kama ana uhakika wapo huko basi wapo kwenye mikono salama kwa wakati huo ,haina ulazima wa kupajua kikubwa ana uhakika wapo kwa baba yao na watarudi.
Ukishawakabidhi basi una uhakika wapo mikono salama .Huwa baba anawafuata mwenyewe
Kuna Viumbe mnapenda Kesi/sheria! Yaani hizi siku 15 za Likizo ya mwisho wa mwaka baba kuchukua watoto wake kwenda Vacation au Likizo binafsi nazo unamtafuta Mwanasheria kisa hujaambiwa wanaelekea wapi? Kwani angekwambia anaenda Kilolo Iringa lkn akaenda Vunjo Kilimanjaro ungefaidi nini sasa.Wasalaam ndugu zangu.
Niende Moja kwa mojakwenye mada
Ikiwa wazazi wameachana na watoto wakawa wanaishi na mama kwa kuwa baba ameoa mke mwingine,je ni sahihi mama wa watoto kukatazwa kujua watoto wake wanapokwenda wakati wa likizo? ( Kwa baba Yao anayeishi na mama wa kambo)
Na je endapo watoto watapata tatizo huko kwa baba Yao je,mama huyu atapataje taarifa hata za kwenda wakati hapajui?
Wanasheria naomba mnisaidie hili
Asante .
Ni hivi,watoto Huwa wanaishi na mama,maana wapo chini ya miaka 8,na baba Huwa anafahamu watoto wake wanapoishi na mama Yao.
Swali ni je,huyu mama haruhusiwi kufahamu kufahamu watoto wake wanapokaa wakati wa likizo?(kwa baba Yao)
Huwa baba anawafuata mwenyewe
Mkuu nimekuelewa sana hapa.Anaruhusiwa.
Sema Wamama wengii huwa wanaleta shida kwenye ndoa za watu kwa kisingizio cha Mtoto
Mama amemkubalia jamaa kwa sababu jamaa ni muungwana anafanya kile kilichompeleka eneo husika (kuchukua watoto) yan hana ajenda nyingine za kuharibu au kuvuruga.Asante mkuu kwa maoni yako,Sasa huyu mama anawawekeaje watoto madawa wakati ndo anaishi nao? Mbona mama yeye hajaona tabu kumuonyesha mwenzie sehemu wanapoishi na watoto,mbona baba anapafahamu tu vizuri,Sasa kwa nn yy amkatalie mwenzake? Hujaona Iko shida hapo