Msaada wa kisheria ...please | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Msaada wa kisheria ...please

Discussion in 'Jukwaa la Sheria (The Law Forum)' started by Kiluvya2011, Dec 30, 2011.

 1. K

  Kiluvya2011 JF-Expert Member

  #1
  Dec 30, 2011
  Joined: Feb 18, 2011
  Messages: 215
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Wakubwa heshima yenu..,

  Ninafanya kazi kwa kampuni moja ya kihindi, nipo kwa probation period of three months, leo asubuhi nimetoa resignation ya 24 hours lakini mwajiri kaniambia nilipe mshahara wa mwezi mmoja je Sheria ya kazi inasemaje?

  Nimejaribu kupitia sheria ya kazi ya mwaka 2004 nimeshindwa kupata ninachokitaka kwa uhakika hivyo nimeona nipate msaada toka kwa wadau.

  Asanteni kwa maasa wenu
   
Loading...