Kwa nini usitumie TIN NAMBA yako? Si kwa ajoli ya biashara yako?alafu unajua Kama utakuwa mrithi?mbona bado mapema kujitafuta katika mirathi Boss,pambana bana kivyako utatoboa hiyo mirathi ikitokea huko mbele fresh,unless mhusika awe ameshafariki,na Kama amefariki basi sheria zitakuzuia kutumia majina take katika biashara mpya