Bonny
JF-Expert Member
- Feb 21, 2013
- 13,369
- 30,009
And this will hunt him until akiamua kumface huyu mama....it sounds like dr.has a guilty consuous in his heart.
Am just imagine akienda kuona watoto inakuaje.....
And this will hunt him until akiamua kumface huyu mama....it sounds like dr.has a guilty consuous in his heart.
Mwambie aende ofisi za ustawi wa jamii zilizo karibu yake.Dada huyu amezalishwa na jamaa watoto wawili, wa kwanza ana miaka 3 wapili mwaka 1, walikua na ahadi ya kuoana, jamaa ni Dr (Ph.D), dada ni accountant.
Wamekuwa kwenye uhusiano for 5years now. Jamaa alishaenda hadi kwao dada, sasa juzi ameletewa habari jamaa kapeleka tangazo la ndoa kanisani, anaoa dada mwingine kabisa na akasikia jamaa anataka kuja kuchukua watoto.
Huyu dada kachanganykiwa, hasa akiwaza jamaa anachukua watoto.
Je kisheria imekaaje? Na je anaweza kwenda kanisani kupinga ndoa? Vyeti vya kuzaliwa na ubatizo jamaa alivichukuaga longtime.
Tumsaidie mawazo huyu dada anaweza kujiua yeye na watoto wake.