Msaada wa kisheria kuhusu mirathi | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Msaada wa kisheria kuhusu mirathi

Discussion in 'Jukwaa la Sheria (The Law Forum)' started by Hilali, Oct 7, 2012.

 1. H

  Hilali New Member

  #1
  Oct 7, 2012
  Joined: Dec 11, 2010
  Messages: 2
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Naombeni wanasheria mnisaidie, kuna familia ilifiwa na baba tangu mwaka 2002 na kila ilipojaribu kufuatilia mirathi imekuwa ikizungushwa hadi ikakata tamaa.
  1. Je, kwa muda huo mirathi bado ipo au itakuwa ime-expire?
  2. Huyo baba alikuwa na wake wawili, alipofariki mke mdogo ambaye walikuwa wamezaa watoto wawili aliondoka na kuolewa na mwanamme mwingine, vp huyo mwanamke anaweza kudai mirathi kwa mujibu wa sheria wakati alishaolewa pengine?
  3. Familia hii inaweza kusaidiwaje kwa kutumia sheria kwa sababu hata aliyekuwa ameteuliwa kufuatitilia mirathi hiyo naye amefariki.
   
 2. Safety last

  Safety last JF-Expert Member

  #2
  Oct 9, 2012
  Joined: Mar 24, 2011
  Messages: 4,224
  Likes Received: 164
  Trophy Points: 160
  Kama executor aliyekuwa named kwenye will amekufa then familia inabidi wakae kikao wamteue administrator ambae ata petition high court with the will annexed kuomba kusimamia mirathi na huyo mke mdogo kama alitajwa kwenye mirathi anastahili kupewa hakiyake,kama anaona haipati ataomba pingamizi (caveat) high court on that contentious matter.Inategemeana kama will iliandikwa under islamic law then hizo sharia zitatumika to divide the will to the beneficiary,Ni vema umtafute wakili awasaidie mm ni bushlawyer.
   
 3. H

  Hilali New Member

  #3
  Oct 9, 2012
  Joined: Dec 11, 2010
  Messages: 2
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  huyo mke aliyeolewa ni bi mdogo na hawakufunga ndoa coz jamaa alikuwa mkristo (RC) na mke mkubwa wa ndoa ndiye alibaki na familia yake, so kwa mantiki hiyo huyo bi.mdogo ambaye hana cheti cha ndoa na ameshaolewa kwa mme mwingine still ana haki ya kudai? then huwa hakuna expire kwa mirathi au ipo? na kama ipo ni kwa muda gani?
   
Loading...