mAgaziJuTO.
Senior Member
- Feb 22, 2014
- 119
- 37
ni siku ya tatu sasa nashindwa kufanya usajili kutokana na ubovu wa mawasiliano kati yangu na watu wa huduma kwa wateja kupitia 0764700800.naomba mwenye kujua mbinu mbadala ya kuwapata anijuze tafadhali ili nami niingie dijitali.