Msaada wa king,amzi

martini enock

JF-Expert Member
Joined
Jul 31, 2015
Posts
635
Reaction score
274
Habari za Leo wana JF
Naomba msaada wa kiufundi wa king,amzi cha startimes
Asubuhi kilikuwa kinaonesha
Muda huu hakioneshi

Kimeandika MANENO haya

Attention
E07:channel list emply.
Nimejaribu kurestore
Kwamba kianze moja wapi

Naomba msaada juu ya tatizo hili kwa anayejua
Natanguliza shukrani.
 
Nimefanya hivyo
Hakuna hata channel moja iliyorudi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…