Hance Mtanashati
JF-Expert Member
- Sep 7, 2016
- 25,163
- 34,328
Chai.Habari yako mwana jf
Baba yangu alibahatika kuwa na mali nyingi sana na kwetu tumezaliwa wachache watu wa nne tu,
Sasa mzee ili kuondoka utata ameamua kugawa mali ingali yupo hai Mimi nimepata mgao wa nyumba ya kuishi pamoja na kiasi kama million 50
Kwa upane wa elimu nina degree ya agribusiness kutokea SUA
Pia binafsi sina background yoyote ya kufanya biashara maana mda mwingi nimetumia shuleni
Niliwaza hii pesa niiweke UTT baada ya kuisoma na kuifatilia Sana lakini changamoto inakuja nahofia usalama wa pesa yangu huko UTT hasa hasa kwenye nchi yetu hii ambayo kiongozi anaweza amua chochote mda wowote.
Naombeni ushauri je naweza anzia wapi katika uwekezaji.
Na je UTT ni salama mathalani kwa miaka 30 ijayo. Umri wangu ni miaka 25.
Pia ningeomba Kwa wenye kujua zaidi ni mkoa gani au eneo gani Tanzania ni zuri Kwa mtu mwenye mtaji kuanza biashara na biashara ipi inaweza kuwa na rejesho zuri.
Asanteni
Ndohvo ni biashara nzurMkuu mwezi wa 6 nilienda kahama tulikua tunasomba tumbaku kutoka vijijini tunaipeleka mjini kahama kwenye makampuni yanayonunua, aisee wale vijana wa vijijini wanapiga hela balaa na tumbaku inanunuliwa kwa dollar, nikasema ipo siku nitaifanya.
Unatakiwa utarget kipindi wanavuna na kuchoma ndo muda mzur wa kununua ili uiandae kwaajili ya masokoMwez wa wangap ndio kuna soko la Tumbaku...?
Kuna kitu kinaitwa govt bond, sijui ni hati fungani za serikali kanunue hzo Bwana utanishukuru sana,Mwenye Link ya Elimu ya UTT anitupie niipate na mimi nianze kuwekeza huko
sio wote mimi ni mrugaruga nilikua mkulima meru kiranyi nikaja darisalam nikawa mbeba tofali sasa niko mochwari dunia ya pili.Mxiewwww vijana wa Arusha wote wadudu tyuu.!! 😹😹😹
Sio wote tumetokea familia duni mkuu tambua hiloChai.
Nakubaliana na wewe sema naitamani sana hii shule kuhusu haya mamboKuna kitu kinaitwa govt bond, sijui ni hati fungani za serikali kanunue hzo Bwana utanishukuru sana,
Samahani mkuu, vp wewe unaifanya?Ndohvo ni biashara nzur
Tunaomba elimu mkuu kuhusiana na government bond.Kuna kitu kinaitwa govt bond, sijui ni hati fungani za serikali kanunue hzo Bwana utanishukuru sana,
Tupia 45M yote UTT kama hujui biashara usifanye invest passively. ikibaki 5M jaribu ku deal na Kilimo as umesomea hayo mambo. Kodi shamba na weka mtaji wa less than M, itumie hiyo kujifunzia.Habari yako mwana jf
Baba yangu alibahatika kuwa na mali nyingi sana na kwetu tumezaliwa wachache watu wa nne tu,
Sasa mzee ili kuondoka utata ameamua kugawa mali ingali yupo hai Mimi nimepata mgao wa nyumba ya kuishi pamoja na kiasi kama million 50
Kwa upane wa elimu nina degree ya agribusiness kutokea SUA
Pia binafsi sina background yoyote ya kufanya biashara maana mda mwingi nimetumia shuleni
Niliwaza hii pesa niiweke UTT baada ya kuisoma na kuifatilia Sana lakini changamoto inakuja nahofia usalama wa pesa yangu huko UTT hasa hasa kwenye nchi yetu hii ambayo kiongozi anaweza amua chochote mda wowote.
Naombeni ushauri je naweza anzia wapi katika uwekezaji.
Na je UTT ni salama mathalani kwa miaka 30 ijayo. Umri wangu ni miaka 25.
Pia ningeomba Kwa wenye kujua zaidi ni mkoa gani au eneo gani Tanzania ni zuri Kwa mtu mwenye mtaji kuanza biashara na biashara ipi inaweza kuwa na rejesho zuri.
Asanteni
Treasury bondKuna kitu kinaitwa govt bond, sijui ni hati fungani za serikali kanunue hzo Bwana utanishukuru sana,
Kuweka 50m yote na kuweka 20 ikupe 300+ kila mwezi kipi bora?Kwa 50m utt anapata Tena ni 300+ Kwa mwezi
Kuna mahali nilisoma kuwa unapata asilimia moja ya uwekezaji wako kwa mwezi. Je utaratibu umebadilika?Kwa 50m utt anapata Tena ni 300+ Kwa mwezi
Nipe huu mchongo unavyokuwaUsirogwe utt it's better uweke fixed account kama 40mil then 10mil nenda tabora miezi ya kwanzia mwez wa 3 mpka 5 ununue tumbaku ikiwa tayr imekaushwa ipo kwenye vishada nunua kwa kupoint then uiuze kwenye masoko mda wa masoko ukifika ni uhakika haina ugai gai unapiga pesa zako unatulia
Sasa km wewe mkulima si uendelee na kilimo mahi 😹😹sio wote mimi ni mrugaruga nilikua mkulima meru kiranyi nikaja darisalam nikawa mbeba tofali sasa niko mochwari dunia ya pili.