Jane Msowoya
JF-Expert Member
- Aug 20, 2017
- 5,042
- 9,654
Wanasemaga usiweke mayai yote kwenye kikapu kimojaHabari yako mwana jf
Baba yangu alibahatika kuwa na mali nyingi sana na kwetu tumezaliwa wachache watu wa nne tu,
Sasa mzee ili kuondoka utata ameamua kugawa mali ingali yupo hai Mimi nimepata mgao wa nyumba ya kuishi pamoja na kiasi kama million 50
Kwa upane wa elimu nina degree ya agribusiness kutokea SUA
Pia binafsi sina background yoyote ya kufanya biashara maana mda mwingi nimetumia shuleni
Niliwaza hii pesa niiweke UTT baada ya kuisoma na kuifatilia Sana lakini changamoto inakuja nahofia usalama wa pesa yangu huko UTT hasa hasa kwenye nchi yetu hii ambayo kiongozi anaweza amua chochote mda wowote.
Naombeni ushauri je naweza anzia wapi katika uwekezaji.
Na je UTT ni salama mathalani kwa miaka 30 ijayo. Umri wangu ni miaka 25.
Pia ningeomba Kwa wenye kujua zaidi ni mkoa gani au eneo gani Tanzania ni zuri Kwa mtu mwenye mtaji kuanza biashara na biashara ipi inaweza kuwa na rejesho zuri.
Asanteni
Yaani usifanye biashara yoyote
Unamaanisha Fixed ni bora kuliko UTT, Kwanini?Usirogwe utt it's better uweke fixed account kama 40mil then 10mil nenda tabora miezi ya kwanzia mwez wa 3 mpka 5 ununue tumbaku ikiwa tayr imekaushwa ipo kwenye vishada nunua kwa kupoint then uiuze kwenye masoko mda wa masoko ukifika ni uhakika haina ugai gai unapiga pesa zako unatulia
Huu ushauri mzuri zaidUsirogwe utt it's better uweke fixed account kama 40mil then 10mil nenda tabora miezi ya kwanzia mwez wa 3 mpka 5 ununue tumbaku ikiwa tayr imekaushwa ipo kwenye vishada nunua kwa kupoint then uiuze kwenye masoko mda wa masoko ukifika ni uhakika haina ugai gai unapiga pesa zako unatulia
Hongera sana kwa kupata mgao kutoka kwa mzee wako. UTT ni wazo jema sana. Nipo huko kwa zaidi ya miaka mitano sasa na hakuna ubabaishaji. Ukiweka hiyo mil 50 ndani ya miaka 30 una zaidi ya 700m. Ni vema kufanya hivyo na kuisahau hela. Naweza kukupa uzoefu wangu zaidi. Kila la kheriHabari yako mwana jf
Baba yangu alibahatika kuwa na mali nyingi sana na kwetu tumezaliwa wachache watu wa nne tu,
Sasa mzee ili kuondoka utata ameamua kugawa mali ingali yupo hai Mimi nimepata mgao wa nyumba ya kuishi pamoja na kiasi kama million 50
Kwa upane wa elimu nina degree ya agribusiness kutokea SUA
Pia binafsi sina background yoyote ya kufanya biashara maana mda mwingi nimetumia shuleni
Niliwaza hii pesa niiweke UTT baada ya kuisoma na kuifatilia Sana lakini changamoto inakuja nahofia usalama wa pesa yangu huko UTT hasa hasa kwenye nchi yetu hii ambayo kiongozi anaweza amua chochote mda wowote.
Naombeni ushauri je naweza anzia wapi katika uwekezaji.
Na je UTT ni salama mathalani kwa miaka 30 ijayo. Umri wangu ni miaka 25.
Pia ningeomba Kwa wenye kujua zaidi ni mkoa gani au eneo gani Tanzania ni zuri Kwa mtu mwenye mtaji kuanza biashara na biashara ipi inaweza kuwa na rejesho zuri.
Asanteni
Wanasemaga usiweke mayai yote kwenye kikapu kimoja
Ila kwa umri huo kama sio chai na unaogopa UTT basi kaweke hata fixed account for 10 yrs
Usisubutu kufanya biashara
Yaani usifanye biashara yoyote
Mkuu una madini juu ya hii biashara, naomba nije inbox kwako tafadhali.Chukua million 20 weka UTT hizo risk nyingine unazoziwaza zipo kila mahali, then kwenye million 30 inayobaki chukua million 20 fungua ofisi ya wastani ya printing and branding.
Nunua large format ndogo moja, heat place ya kuchoma logos kwa Tshirst na vikombe pamoja na plotter if necessary. Now kampeni zinakuja so mabango na matshirt ya chama or vyama yataprintiwa sana hasa yale yenye sura za watu kwahiyo ukifanya marketing vizuri na ukawa unaenda outdoor kutafuta tenda utapiga pesa, and trust me hii biashara unaweza kustruggle miezi sita ya mwanzo coz ya ugeni wa ofisi ila baada ya hapo hautabaki kama ulivyo.
Hiyo million 10 nyingine itie bank kama akiba yako na matumizi ya hapa na pale... kila la heri young man.