Msaada wa kimawazo WANAJUKWAA

Msaada wa kimawazo WANAJUKWAA

advocate kiza

JF-Expert Member
Joined
Jan 24, 2019
Posts
259
Reaction score
90
Mimi ni kijana niliemaliza kidatobcha nne mwaka 2017 kwa matokeo haya DIV IV 26
Civics C
English C
Kiswahili C
Goegraph D
History D
Biology D
Math F

Sasa nilikuwa nauliza ipi imekaa njema kati ya kwenda advance private kwa HKL au niende chuo, na vipi course gani naweza fit pia, out of my own selection ambayo ni law,, vipi kuhusu COMMUNITY HEALTH??

KARIBUNI
 
ha ha ha eti advance HKL kwa matokeo gani hayo hapo au kuna mengine
 
kasome certificate ya law..advance hutaiweza
 
Back
Top Bottom