Nahitaji kujiendeleza but baada ya kuleta vigezo kusoma degree ni kuanzia GPA 3 na mimi nina 2.9 nimekosa vigezo nahitaji ushauri wenu nifanyeje nawasilisha.
Jiunge program maalum ya open university ambayo ni maalum kwa wenye sifa punguf then baada ya miez kadhaa ukifaulu kikamilifu unaweza kuendelea na masomo ya chuo