Soma UMEME. Siku hizi kila mtu dereva. Uashi ni kozi kizamani labda kama ingekuwa Construction EngineeringHabari wakuu wa jukwaa hili.
Naombeni msaada wa KIMAWAZO,
Mimi ni mhitimu kidato cha sita, Nataka kuendelea Na chuo LAKINI cha mafunzo ya Ufundi(fani ) Kuna fani ya ujenzi(uashi),. Udereva, Na Umeme,
Tatizo linakuja kwamba kati ya hizi fani zote sijui ipi ni nzuri zaidi katika kuwa Na future.
Tafadhari nisaidieni mawazo , au kama kuna nyingine ambayo sikuiweka Na Ina future zaidi tafadhari nielekeze.
N.B , Naomba ushauri wa fuata moyo wako, ww unapenda nini, Uwe umesubirishwa kwa mda kwanza. Naomba nipatiwe ushauri wa nilichokiomba.
Wa TanescoUmeme wa Aina gani mkuu ,
Umeme wa Majumbani ( Electrical Installation & Wiring !Umeme wa Aina gani mkuu ,
[emoji28][emoji28][emoji28]Wa Tanesco
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]dahWa Tanesco
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]dah
Uashi ipo poaHabari wakuu wa jukwaa hili.