Msaada wa kielimu pls!! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Msaada wa kielimu pls!!

Discussion in 'Jukwaa la Elimu (Education Forum)' started by Haika, Sep 25, 2012.

 1. H

  Haika JF-Expert Member

  #1
  Sep 25, 2012
  Joined: Mar 3, 2008
  Messages: 2,318
  Likes Received: 62
  Trophy Points: 145
  Naomba kujua, kama mimi nilimaliza form 6 miaka kadhaa iliopita na div 2 sikutaka kusoma nikaanza mambo ya pesa na familia, sasa ndo nimeomba chuo kupitia tcu, jina halijatoka, nataka masomo ya jioni, nifanyeje? Ina maana siwezi kusoma tena tanzania?
   
 2. KICHUMVI

  KICHUMVI Senior Member

  #2
  Sep 26, 2012
  Joined: Aug 12, 2012
  Messages: 114
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  inawezekana kaka mbona vyuo vpo vngi tu ni chaguo lako unataka chuo gani? unaweza kuomba BBA udbs pale udsm iko pouwa tu na uwezi kukosa
   
Loading...