Msaada wa kielektroniki

YP Kisunzu

Member
Dec 8, 2015
7
0
Naombeni msaada,mimi nina king'amzi cha continental na tv ya rising flat screen pamoja na ya kichogo.
Bahati mbaya tv ya rising haitoi sauti nikiunganisha tena hata nikiweka flash bado shida ni ile ile ila nikiweka kwa ya kichogo sauti km kawaida niliirudisha dukani kuwapa walipoweka tu kitu kikatoa sauti kurudi nayo bado shida ile ile nikaipeleka tena kuomba nipewe nyingine nikaconnect nikiwa kule kule ikatoa sauti nilivyoleta nyumbani kwa connection ile ile sauti hamna muda mwingine inazima tu sijui tatzo ni nin nilikuwa nawazia umeme nioutumia ambao ni wa solar aina ya sunshine 100w na bettarry 100N labda ndo shida lakin kwa nn ya kichogo inaonesha bila shida . nisaidieni
 
Back
Top Bottom