naomba msada wa kimawazo naenda kusoma CBE no yangu 0765782511 whasapHabarini wana janvi,
Nilisoma semester tano CBE nikaamua kuchukua higher diploma,sasa nataka kurudi kumalizia degree.je nitaanza mwaka upya au nitapiga hyo semester moja nihitimu.msaada kwa mwenye kujua