Sijui sheria ya nchi yetu inasemaje ila kuna nchi ambazo ukimkamata mtu bila idhini yake ni lazima utoe taarifa kwa mahakama within 48 hours ambayo itatuma mwanasheria kuja kutathmini hali ya mgonjwa huyo na kutoa ruhusa ya kuendelea kumshikilia mgonjwa au kukataza kushikiliwa kwake.Sababu ni kama alivyosema Pundit,si sahihi kuassume kuwa kila atakayekamatwa atakuwa amefanyiwa hivyo kwa lengo la kumsaidia.
Prevention is better than cure hivyo basi ni vyema vyombo vya haki za binaadamu vikaangalia hili, ingawa kwa jinsi ninavyoona mimi wameanza kwa malengo mazuri.Ila kama unavyojua watu wenye hila wanaweza kulitumia jambo zuri kwa njia mbaya.