Msaada wa kazi

Msaada wa kazi

Ukiwa mnada mpya kama unaenda nala ,kabla ya mizani kuna site ina kazi kila siku ,na hapa mnadani stand kuna site ya tofali kazi zipo daily ni wewe tu kuwahi ,na usiwe mdokozi mdokozi.
 
Habari wakuu.. Mimi kijana wa kiume umri early 30's.Naombeni mwenye kazi yeyote halali alieko dodoma mjini anisaidie,
Naweza kufanya kazi zinazohitaji kutumia nguvu au hata inayohitaji elimu ya darasani elimu bach.degree tourism vilevile computer technician with huge experience..nipo tayari kwa malipo yeyote ili mradi nipate kitu cha kunisaidia ku-survive pia kuni keep busy na pengine kunisaidia kupiga hatua,,sijakata tamaa lakini nahisi maisha yameamua kunifanya sample
Inbox yangu iko wazi mda wote karibu sana wenye connection yeyote...natanguliza shukrani zangu za dhati kabisa
People are passing through a lot the stress after stress, bad enough no one cares. Life is turning more worse daily in this country.

Ila pambana mkuu utafanikiwa ukipata hata nje ya Dodoma nenda.
 
Back
Top Bottom