Msaada wa kazi

Msaada wa kazi

mactal

Member
Joined
Nov 14, 2016
Posts
72
Reaction score
103
Habari wakuu.. Mimi kijana wa kiume umri early 30's.Naombeni mwenye kazi yeyote halali alieko dodoma mjini anisaidie,
Naweza kufanya kazi zinazohitaji kutumia nguvu au hata inayohitaji elimu ya darasani elimu bach.degree tourism vilevile computer technician with huge experience..nipo tayari kwa malipo yeyote ili mradi nipate kitu cha kunisaidia ku-survive pia kuni keep busy na pengine kunisaidia kupiga hatua,,sijakata tamaa lakini nahisi maisha yameamua kunifanya sample
Inbox yangu iko wazi mda wote karibu sana wenye connection yeyote...natanguliza shukrani zangu za dhati kabisa
 
Hio degree ipeleke Zanzibar utakuja kunishukuru, toka magetoni. Maisha ni popote sio lazima hapo ulipo, changamka kijana.
 
Miaka 30 bado kijana?
You can quickly get vaporised at 400 Kelvin.

So you really get burnt at someone name? Kelvin... That make sense right?

100 scholars sat years ago to decide how the rest should think and you got indoctrinated so bad..


They can say a toddler should get married and you would believe it.

Age sh!t doesn't make any sense.
 
Dodoma kuna site nyingi sana za kufetua tofali amkia hizo sehemu mapema ,hutakosa kazi ,, panga nguzo ,nguzo moja huwa ni 300 ,, pia huwaga kuna kazi ya kupakia na kushusha tofali ,,,
 
Back
Top Bottom