miss_mbeya
JF-Expert Member
- Mar 24, 2015
- 1,073
- 1,021
Kasoma geography na kiswahili Mkuu ahsante sana ,waweza nisaidia ndugu yangDuu tangu 2014, Pole kwao kwa kweli, aliesoma eductn kasoma masomo gani? Natafta mtu wa kiswahili na history, halaf kwenye mazingira kuna mshkaji juz kapata dili baada ya kukosa profesional
Ahsante Mkuu barikiwa sanaMpe pole kiukweli kazi zimekuwa ngumu.Serikali haitoi ajira na sekta binafsi imebana.Aombe Mungu sababu anajua mipango yote
Nisaidie km unaconnection ya mazingira hukoDuu tangu 2014, Pole kwao kwa kweli, aliesoma eductn kasoma masomo gani? Natafta mtu wa kiswahili na history, halaf kwenye mazingira kuna mshkaji juz kapata dili baada ya kukosa profesional
Kosa lilifanyika nyuma. Vilianziashwa vyuo vikuu vingi kama uyoga na mbaya zaidi vingi viko chini ya kiwango. Matokeo yake wanatoa ma-graduate makanjanja ambayo hayana soko.Mpe pole kiukweli kazi zimekuwa ngumu.Serikali haitoi ajira na sekta binafsi imebana.Aombe Mungu sababu anajua mipango yote
Wa mazingira yupo Dar na wa Education yupo Mbeya,walifiwa na wazazi wao ,so nilichukua jukumu LA kuwasaidia ,has a kutokana na mazingira waliokuwa wanaishi ,ni watoto wa baba Mdogo ila wazazi ni marehemu ,baba yao alifariki 1999 na mama 2003wako mkoa gani
Ni vizuri mnaotafuta kazi au jambo linaliofanana na hili muwe mnaweka nyama kidogo maana inakuwa kazi ya anayehitaji kutoa msaada au nae ana shida na mtu wa kazi kuanza kuuliza umesomea nini, masomo gani, umri,nk. Maana kuna watu wanahitaji mtu wa aina Fulani.Habarini za kazi wakuu,ninaomba msaada wa kazi ,Nina wadogo zangu wamemaliza Udsm tangu 2014,coz ya mazingira na Education ,please hata kazi zozote za vibarua anawezafanya ,lengo atafute mtaji wa biashara ,Ahsanteni kwa niaba ,Natanguliza shukrani zangu za dhati
OK Nashukuru Mkuu, nitarekebishaNi vizuri mnaotafuta kazi au jambo linaliofanana na hili muwe mnaweka nyama kidogo maana inakuwa kazi ya anayehitaji kutoa msaada au nae ana shida na mtu wa kazi kuanza kuuliza umesomea nini, masomo gani, umri,nk. Maana kuna watu wanahitaji mtu wa aina Fulani.
Yes Mkuu ,kozi ya mazingiracoz ya mazingira