Amedeus Somi
Member
- Aug 27, 2016
- 65
- 22
Dogo mimi ni PM pale Clouds,nikuweke kwenye kipindi gani uue?Daah keep hustling bro,,we're on the same lane
Kaka acha Utani bac,,Sisi tupo serious ujue,,PM wa Clouds si Shaffih Dauda!!..By the way Mimi nna kipindi changu kabisa kimekamilika, kipo unique yaani hakijawahi kuwepo Tz hii,Nawaza nikienda Kwenye media house yeyote ile naenda kuki'implement pale(New show)..ile Clouds pale Nikikaa na Msanuaji pale On point itakua yente kijemedali,,Dogo mimi ni PM pale Clouds,nikuweke kwenye kipindi gani uue?
Najua mko serious ila nilikuwa natania kidogoKaka acha Utani bac,,Sisi tupo serious ujue,,PM wa Clouds si Shaffih Dauda!!..By the way Mimi nna kipindi changu kabisa kimekamilika, kipo unique yaani hakijawahi kuwepo Tz hii,Nawaza nikienda Kwenye media house yeyote ile naenda kuki'implement pale(New show)..ile Clouds pale Nikikaa na Msanuaji pale On point itakua yente kijemedali,,
For sure mkuu,,Nilienda redio moja hapa Chuga but wakanikatisha tamaa kuhusu malipo nikaamua2 nivunge kwanza,,Nimalizie chuo kwanza mwakani mwezi June then nianze sasa Pursuit ile ile yani.ntatimba hadi DarisaladeNajua mko serious ila nilikuwa natania kidogo
Sasa mzee si upite kwenye hizi media house unaweza kuwa na bahati ya kukubaliwa show yako kuwa aired
Kwa hizo mbanga zako darisalade ndo penyewe..For sure mkuu,,Nilienda redio moja hapa Chuga but wakanikatisha tamaa kuhusu malipo nikaamua2 nivunge kwanza,,Nimalizie chuo kwanza mwakani mwezi June then nianze sasa Pursuit ile ile yani.ntatimba hadi Darisalade
Sure man ntaenda kote uko hadi pale Usafini coz Weekend ni empty... Hahah sikufichi bro ndoto za upcoming journalists wengi ni kufanya kazi CMG,,na Role models wetu ndo kina Twangala,Dullah planet,Jonijoo,Lil Ommy,Mchomvu,,huwezi skia mwanafunzi wa journalism ana ndoto za kwenda MTV,Channel 0,I Heart radio,,wala kuwa na Role models kama Yaw,Don2dtun,Funk flex,Ebro Darden,Nick Cannon... Wengi tunaangalia soko la ndani2..Alaf no creativity tunaigana kinyama.Kwa hizo mbanga zako darisalade ndo penyewe..
Wasafi bado weekend wapo empty ujaribu na huko..
Hivi mnaosomaga Journalism huwa mnakuwa na ndoto za kuwa siku moja nitafanya PB,XXL au huwa pia mnaangalia sehemu nyingine?..mfano magazeti,Mwanahabari wa kujitegemea,reporter n.k
Mzee kwa swaga hizo sali Sana ndio upate kazi..hizo unazozikodoleaa.macho tayari zinawatuSure man ntaenda kote uko hadi pale Usafini coz Weekend ni empty... Hahah sikufichi bro ndoto za upcoming journalists wengi ni kufanya kazi CMG,,na Role models wetu ndo kina Twangala,Dullah planet,Jonijoo,Lil Ommy,Mchomvu,,huwezi skia mwanafunzi wa journalism ana ndoto za kwenda MTV,Channel 0,I Heart radio,,wala kuwa na Role models kama Yaw,Don2dtun,Funk flex,Ebro Darden,Nick Cannon... Wengi tunaangalia soko la ndani2..Alaf no creativity tunaigana kinyama.
Mzee kwa swaga hizo sali Sana ndio upate kazi..hizo unazozikodoleaa.macho tayari zinawatu