BabaMorgan
JF-Expert Member
- Dec 18, 2017
- 5,196
- 14,371
Kwani kuna tatizo?Una digrii bado unataka connection jf?
Afanyeje!? Mwaga nondo hapa mkuuUna digrii bado unataka connection jf?
Ndugu yangu acha dharau na kumkatisha tamaa mwenzio. Kama wewe huwezi kumsaidia wapo watakaompa connection.Una digrii bado unataka connection jf?
Husitegemee kutoka kiamaisha na mshahara wa hapo dangote,wanaokula dodo ni wahindi tu nyie wengine nikama mapunda.From experienceMimi mwana Jamii mwenzenu kwa unyenyekevu kabisa naomba msaada kwa yoyote yule mwenye Connection kwa Dangote Mtwara anisaidie niweze kupata kazi.
Imani yangu ni kuwa jamiiforum ni jukwaa kubwa linalowakutanisha watu wa hadhi tofauti tofauti kama wakurugenzi, meneja rasilimali watu na wanaotafuta kazi.
SIFA ZANGU
Shukrani kwenu nyote.
- Stashahada ya ugavi na manunuzi
- uwezo wa kutumia kompyuta kwa ufasaha
- na pia uzoefu wa miaka mitano ya kusimamia vibarua na kuoperate mashine
Nawasilisha.
Lakini kwa kuanzia siyo mbayaHusitegemee kutoka kiamaisha na mshahara wa hapo dangote,wanaokula dodo ni wahindi tu nyie wengine nikama mapunda.From experience
Sent from my TECNO KB7j using JamiiForums mobile app
Soma iyoMimi mwana Jamii mwenzenu kwa unyenyekevu kabisa naomba msaada kwa yoyote yule mwenye Connection kwa Dangote Mtwara anisaidie niweze kupata kazi.
Imani yangu ni kuwa jamiiforum ni jukwaa kubwa linalowakutanisha watu wa hadhi tofauti tofauti kama wakurugenzi, meneja rasilimali watu na wanaotafuta kazi.
SIFA ZANGU
Shukrani kwenu nyote.
- Stashahada ya ugavi na manunuzi
- uwezo wa kutumia kompyuta kwa ufasaha
- na pia uzoefu wa miaka mitano ya kusimamia vibarua na kuoperate mashine
Nawasilisha.
Shukrani Nishasoma na kutuma vinavyotakiwa nimekuja kuomba backup
Hili tangazo ni scam, mark my words
Muda utaongea ngoja tusubiri.Hili tangazo ni scam, mark my words
Hawa ni matapeli!! Dangote hiyo sio Email yao!! Tangazo limeandikwa kiduni sana, eti viongozi wasimamizi mbalimbali ndo nini???? Hao ni matapeli, wahasibu 40???? Wanaenda kufanya nini??? Nimecheka sana
OkShukrani Nishasoma na kutuma vinavyotakiwa nimekuja kuomba backup
Wanataka wahasibu 40, lakini hao 40 wawe wanawake tu!?
Nimekubali awa jamaa ni matapeli.. wametuma form ya kujaza then wanataka 15000 kama fee ya fomu sasa kweli tajiri Dangote anataka pesa zetu wanyongeView attachment Form .pdfHawa ni matapeli!! Dangote hiyo sio Email yao!! Tangazo limeandikwa kiduni sana, eti viongozi wasimamizi mbalimbali ndo nini???? Hao ni matapeli, wahasibu 40???? Wanaenda kufanya nini??? Nimecheka sana
Nipo hapa broUnaweza ku operate forklift?