M munally14 Member Joined Mar 5, 2020 Posts 84 Reaction score 87 Jun 9, 2023 #1 Habari, Naomba msaada kwa yeytote anaeweza kunitumia katiba ya kikundi au Saccos soft copy kwa whatsap 0747848885 au email munally14@gmail.com
Habari, Naomba msaada kwa yeytote anaeweza kunitumia katiba ya kikundi au Saccos soft copy kwa whatsap 0747848885 au email munally14@gmail.com
Podcast JF-Expert Member Joined Aug 21, 2018 Posts 842 Reaction score 1,032 Jun 10, 2023 #2 Kama uko tayari kulipia nitakutumia
Sizinga Platinum Member Joined Oct 30, 2007 Posts 9,564 Reaction score 7,450 Jun 10, 2023 #3 munally14 said: Habari, Naomba msaada kwa yeytote anaeweza kunitumia katiba ya kikundi au Saccos soft copy kwa whatsap 0747848885 au email munally14@gmail.com Click to expand... Acha uzembe tumia Google zipo nyingi sana huko
munally14 said: Habari, Naomba msaada kwa yeytote anaeweza kunitumia katiba ya kikundi au Saccos soft copy kwa whatsap 0747848885 au email munally14@gmail.com Click to expand... Acha uzembe tumia Google zipo nyingi sana huko
Kv-london JF-Expert Member Joined Jan 24, 2014 Posts 2,892 Reaction score 5,084 Jun 13, 2023 #4 Kwa succos lazima uwe na data base Ila kama ni za vikoba vya kuvunja mwaka mzima sawa nenda Google utazikuta nyingi Kumbuken kufungua account ya bank Kwa ajili ya usalma wa pesa zenu
Kwa succos lazima uwe na data base Ila kama ni za vikoba vya kuvunja mwaka mzima sawa nenda Google utazikuta nyingi Kumbuken kufungua account ya bank Kwa ajili ya usalma wa pesa zenu