Msaada wa Joining instruction UDOM

Msaada wa Joining instruction UDOM

Naisoma360

JF-Expert Member
Joined
Jan 23, 2015
Posts
823
Reaction score
493
Wana JF Kama kuna mtu atakuwa na Joining instruction Chuo kikuu cha Dodoma Anisaidie kwa Undergraduate.
 
Nadhani wanasubiri hadi majina ya 3rd round yatoke lakin mbona udsm na vingine admission letter zishatoka!Anye udom magu duuuu(kigogo)
 
Yah!its true but tuweni na subrah kwan yavuta kheri
 
Jamani wadau naomba shauri wenu wengine mpaka ss hv ha2ja pangiwa chuo chochote nmesha panic lnakuwaje hl swala? Naomba msaada wenu ingawa mwaka jana nliomba lakn sikuenda Chuo kwa ukata wa fedha nimeomba tena mwaka huu.
 
Inshaallah Kuwa na subrah kama umeapply 3rd round atakuwezesha kupata!#dont panic He will bring it on
 
udom imeweka watumishi roho juu maana wanataka joining instraction ili wakaombe ruhusa kazini
 
Isitoshe muda ndio huo unasonga na baadhi ya ofc zetu zipo mbablu na uchaguzi ndio huo, presha juu na maboss wetu ndio miungu watu t.utakoma
 
hii inafunguka kwa wale waliochaguliwa tangu mwanzo bt kwa wale waliochaguliwa sasa hivi bado inaingua.
 
  • Thanks
Reactions: Yuv
Back
Top Bottom