Habarini za jioni wakuu?
kama tujuavyo Mkurugenzi wa halmashauri ndie afisa masuuli-ACCOUNTING OFFICER. Lakini idara ya fedha iko chini ya MHASIBU WA WILAYA (DT). Hivyo ninahitaji kujua majukumu na wajibu wa mkuu wa idara ya uhasibu katika halmashauri hususani katika uidhinishaji malipo.
Nikipata document husika itakua ni nzuri zaidi.
asanteni