msaada wa jinsi ya kutumia connectfy hostpot

kama una win 7 updated mpaka win 7 sp1.... kama unatumia win xp sahau haifanyi kazi... kama unatumia win 8 lazima itafanya .. mi natumia!
Xp inapiga kazi mkuu, lazima uwe na net framework 3.1 na kuendelea, oh na iwe xp sp3.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom