Msaada wa jinsi ya kutoa immobilizer

hamisi nondo

Senior Member
Aug 21, 2011
192
172
.wenye uwelewa kuhusu namna ya kuitoa giyo system ya immobilizer anifahamishe maana ukipoteza funguo tu au ukidondosha funguo bhas lak 3.5 zinakutoka hiv hiv ili kupata sensor ingine,,sasa jaman hakuna namna ya kuitoa hii au hata waya za kuunga ili kuifanya iwe direct
 
Jaribu kutafuta control box nyingine ambayo haitumii immobilizer
 
.wenye uwelewa kuhusu namna ya kuitoa giyo system ya immobilizer anifahamishe maana ukipoteza funguo tu au ukidondosha funguo bhas lak 3.5 zinakutoka hiv hiv ili kupata sensor ingine,,sasa jaman hakuna namna ya kuitoa hii au hata waya za kuunga ili kuifanya iwe direct
Unaweza itoa hiyo immobilizer chip ukaifunga karibu na ignition switch. Muda wote gari litakua lina sense umetumia funguo sahihi hata ukiweka funguo isiyo na immobilizer.

Ila ukumbuke hapo lengo la immobilizer litakua limekwisha.
 
.wenye uwelewa kuhusu namna ya kuitoa giyo system ya immobilizer anifahamishe maana ukipoteza funguo tu au ukidondosha funguo bhas lak 3.5 zinakutoka hiv hiv ili kupata sensor ingine,,sasa jaman hakuna namna ya kuitoa hii au hata waya za kuunga ili kuifanya iwe direct
ni gari aina gani mkuu kuna gari zingine huwezi itoa hiyo systerm. ukitaka kupaata msaada wa kina nivizuri ukaongezea nyama shida yako
 
hapo kuna
Toyota wish engine ya 1zz-fe
option mbili ya kwanza kubadili control box na kuweka isiyo na immobilier .ukitaka control hiyo nione

option ya pili ni kuweka IMMO OFF control hiyo hiyo iliyopo kwenye gari hapo inataka utaalam kidogo na uwe na vifaa vya kufanyia hiyo kazi ukitaka nikufanyie hiyo kazi naweza pia
 
Back
Top Bottom