Msaada wa jinsi ya kumspy mtu katika cm yake???

Msaada wa jinsi ya kumspy mtu katika cm yake???

download Mobile free tracker azima simu yake iinstall..maelezo mengine simple kuyafata!.
 
Anayeweza kunisaidia jinsi ya kuweka application ya spy call katik cm ya uliyemkusudia msaada please

https://www.jamiiforums.com/threads/jinsi-ya-kudukua-simu-ya-mpenzi-wako.1264926/

MAUTUNDU: Namna ya kusoma chat za mwenzako za WhatsApp bila yeye kujua

kupata sms anazopokea na
anazotuma tafuta application (ya android inaitwa phoneleash..hii utatakiwa kui install ktk
simu ya w mpenzi wako,baada ya hapo utapata msg
z zake na call duration zake,utazipata katika namba
yako ya simu au email(hapa utachagua wakati una install)
 
Mkuu acha kabisa hiyo kitu....ukitaka kufa mapema basi hiyo ni njia mojawapo ya kumbip Izrael mtoa roho na alivyo na kiherehere lazima akupigie. Usiseme hatukukuambia mkuu
 
Bora umwache tu mpenziwe kuliko kihoro unachotafuta sasa
 
Back
Top Bottom