Haha utasoma buree...ukipata mi mwanafunz wako
asanteh kwa ofa yakoHaha utasoma buree...
Nenda VETA watakupa utaratibu, watakushauri, na wao ndio wanaokusajili, yaani aidha usajili Wa muda au wa kudumu.Habari zenu wadau!
Ningependa kufungua shule ya kutoa computer short courses ila sijui process za usajili wake inakuwaje. Msaada kujuzwa tafadhali.
Kama uko Serious na kompyuta 2 au Tatu, tafuta ofisi au eneo - Then anza na wanafunzi wachache watakaopenda kujifunza. Ukitaka kumiliki Chuo kama "ZION" Ghafla tu, ukiwekewa mchanganuo hapa utaishia tu kukata tamaa.Habari zenu wadau!
Ningependa kufungua shule ya kutoa computer short courses ila sijui process za usajili wake inakuwaje. Msaada kujuzwa tafadhali.
Asante sana, umeniongoza pakubwaNenda VETA watakupa utaratibu, watakushauri, na wao ndio wanaokusajili, yaani aidha usajili Wa muda au wa kudumu.
Pia vitu vya muhimu ni darasa, Computer zisizopungua kumi(kama nakumbuka vizuri).
Tatizo wengi sasa hivi wanataka na vyeti. Hawataki longolongoKama uko Serious na kompyuta 2 au Tatu, tafuta ofisi au eneo - Then anza na wanafunzi wachache watakaopenda kujifunza. Ukitaka kumiliki Chuo kama "ZION" Ghafla tu, ukiwekewa mchanganuo hapa utaishia tu kukata tamaa.
- Then baada ya muda labda kama miaka 2 au 5 ndio ufanye hizo process za usajili kwa ajili ya kupanua biashara yako n.k kama kupata mikopo n.k
Usihofu tena principalMi ntakuwa mwalimu niko vizuri asee
Kazungumze na chuo kimojawapo ili utumie BRAND yao - Vingi ni vya kawaida tu wala usiogope, Wamiliki wengi wa vituo vya QT wanafanya hivyoTatizo wengi sasa hivi wanataka na vyeti. Hawataki longolongo
Sijapata hapo kwa elimu ya watu wazima. Yaani naenda jisajili kama natoa elimu ya watu wazima au naend jisajili kwa watu wanaotoa elimu ya watu wazima?Mimi nipo veta mkuu, ukitufuata sisi lazima ujipange maana huwa hatuna kawaida ya kufanya ubabaishaji. Tutahitaji uwe na majengo, vifaa na walimu wenye sifa. Ila kuna ambao huwa hawana complication hata kama una pc tatu wanakusajili ambao ni taasisi ya elimu ya watu wazima. Hata nyumbani kwako tu unapewa usajili wa kituo chako na watakuwa wanawapa wanafunzi wako vyeti.
Anha ok.. asanteIla ukitaka veta uwe na jengo, mwalimu angalau awe na diploma pamoja na cheti cha ualimu wa veta unaotolewa morogoro, uwe na computer za kutosha atleast tano. Furniture. Kan ng kupanga tutahitaji mkataba angalau uwe wa miaka mitano na kuendelea.
Hahahaha hiyo ya hadi ukamatwe ndo ujifunze kali sanawewe fungua tu halaf wakija kukukamata watakupeleka police halafu watakupa utaratibu wa kufuata ili uweze kusajiri