Msaada wa jinsi ya ku-host wordpress site kutoka local host.

fredie92

Senior Member
Joined
Oct 30, 2012
Posts
133
Reaction score
32
Habari za jumapili wakuu!!! Nimetengeneza website kwa kutumia wordpress sasa nataka kurusha hewani. Nimeshanunua domain na hosting plan kutoka hostgator. Nimekwama jinsi ya kuirusha. Naomba msaada tafadhali. Asante sana.
 
Hauwezi kuhost kutoka localhost, inabidi uhamishe data zote kutoka local machine kuweka hostgator.

Ingia account ya hostgator, install wordpress latest How to Install WordPress « HostGator.com Support Portal.


Update wordpress kwenye machine yako iwe latest.

Install Plugin hii: https://wordpress.org/plugins/all-in-one-wp-migration/ kwenye local wordpress na kwenye wordpress ya hostgator.

Export site yako kwa kutumia hiyo plugin katoka local wordpress yako, itatengeneza file.

Import hiyo export file iliyokuwa generated katika wordpress ya hostgator.

 
Last edited by a moderator:
Habari za jumapili wakuu!!! Nimetengeneza website kwa kutumia wordpress sasa nataka kurusha hewani. Nimeshanunua domain na hosting plan kutoka hostgator. Nimekwama jinsi ya kuirusha. Naomba msaada tafadhali. Asante sana.

fanya hivi...

upload folder lote la wp contents..kwenda kwenye public html au www folder...
export sql kutoka kwenye localhost.katika UTF -8 format ...
nenda kwenye live server(domain) create database ...then import lile sql file...
edit and upload file la wp config.php kulingana na database details za domain yako.

ukifanikiwa hayo hakuna haja ya kufanya fresh installation ya wp kwenye domain yako. yaani itajiinstall yenyewe ukisha upload lile sql file.
 
samahani wakuu naombeni kurukia maada kidog nilikuwa na ttz nataka kuconvert wordpress template to blogger template sijui nitumie tool gani wakuu
 
Habari za jumapili wakuu!!! Nimetengeneza website kwa kutumia wordpress sasa nataka kurusha hewani. Nimeshanunua domain na hosting plan kutoka hostgator. Nimekwama jinsi ya kuirusha. Naomba msaada tafadhali. Asante sana.

kama ambavyo wakuu hapo juu wamesema

1. zip folda lenye site lililo kwenye localhost, pia download database kupitia phpmyadmin (ukidownload jaribu kubadili url zenye localhost ziwe na anwani ya domain)

2. upload zip folda kupitia cpanel au file manager ingine kisha extract kila kitu kwenye live host wako, ukimaliza tengeneza database mpya kupitia phpmyadmin na import ile database uliyotoa localhost

3. modify wp-config.php kwenye sehemu za database, username, password ifanane na value ulizotengeneza mpya, ukimaliza save.

4. violaaaa, kitu kipo hewani
 

Mkuu shukrani sana... Nimefanikiwa!!! Mungu akuzidishie zaidi sana....
 
Last edited by a moderator:

wasalipa sana mkuu... nimefanikiwa
 

Mkuu shukrani sana nimefanikiwa.... himetumia hii idea kwenye site nyingine kwani nilikuwa nazo mbili.... Thanks zote zipo hewani...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…