Msaada wa Jina

Kuna jirani yangu hapa anawatoto watatu na majina yao kama ifuatavyo;
1)HAWA
2)HATUFIKI
3)MWATAKAJE

So you may choose one of them!

HAWA, MWATAKAJE SAWA, Lakini HATUFIKI, SHIDA, MATATIZO, MAISHA MAGUMU, CHUKUA CHAKO MAPEMA na yanayo fanana hayo, sio mazuri kwa sababu yana adhiri mtoto kisaikolojia.
 
Abubakwa? Ahahahaa umeua mkuu

Haya kama hilo hutaki:

1. Abdulqadir

2. Abdulrahman

3. Aboubakar

Unajua nini mkuu, mijina inayoanzia na herufi za mkiani ni nuksi sana. Wakati wa kupokea fedha unakuwa wa mwisho mbali huko, kama unabisha uliza makarani wa Sensa, NIDA, Wakimbizi, hata shuleni
 

Mwana Mtoka Patamu umetisha kweli majina yanaoanzia na Z ndio wa mwisho kupata mipunga haaaaa
 
Last edited by a moderator:
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…