Msaada wa internet nokia c6-01

Kaparatus

Member
Oct 14, 2011
32
6
wadau mie natumia nokia C6-01, tatizo inakuwa online wakati wote, anaejua setting anisaidie.
 
Nenda: Menu-settings-connectivity-packet data-chagua when needed
Huenda kwenye simu yako kuna lugha tofauti, check for something like that.
 
kwa mm nazan unaweza kua na apps ambazo zna run automaticly.! Appz znyw n kama whatsapp na nimbuz,! So kama unazo hz appz bas ndo tatzo
 
Ebu nitafute kwa namba hizi 0717577755 au 0787577755 kwa msaada zaidi kama upo Dar es salaam!
 
Like the partner above who tokd ov appz nadhan ndo issue iliopo kwamba atakuwa anaMINIMIZE badala ya kuEXIT xo ukiminize lazma ibaki online na mkwanja unatembea if dnt uz bundlez au any cheatz!
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom