Prince Nadheem
JF-Expert Member
- Feb 25, 2012
- 1,270
- 1,111
Ndugu wanajamvi habari za leo!!!
Naombeni msaada wa namna ya kufanya internet connection ya Nokia Asha 501.
Ni simu ambayo nimenunua kwajili ya dada yangu ili japo niweze kushea nae vitu kama whatsapp na kama hivyo.
Sasa tatizo linakuja kuwa nimeshapata message ya configuration na nime-install kwenye simu. Tatizo linakuja kuwa pamoja na hayo bado simu haiconnect kwenye internet.
Naombeni sana msaada wenu juu ya hili.
Line ni ya Tigo:
confused: